Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bagamoyo, Waheshimiwa madiwani wa kata wakiambatana na Katibu wa Ofisi ya Mbunge jimbo la Bagamoyo wakiwa katika mkusanyiko wa pamoja wakipata maelekezo kutoka kwa Naibu waziri tamisemi Mhe. Dugange.
Hii ni baada ya kupata mualiko toka kwa Mbunge wa jimbo la Bagamoyo Mhe. Muharami Shabani Mkenge Bungeni Dodoma.
0 Maoni