Ticker

6/recent/ticker-posts

JUMUIYA YA TUL-AKHLAAQIL ISLAMIYA YAPATA MUALIKO WA KUTEMBELEA BUNGE

Jumuiya ya TUL- AKHLAAQIL ISLAMIYA Ilipata fursa ya kutembelea Bunge ambapo jumuiya hiyo ilipata wasaa wa kupiga picha ya pamoja na Mbunge wa jimbo la Bagamoyo  Mhe. muharami Shabani Mkenge pamoja na Waziri wa mambo ya ndani Mhe. Hamza. 
 

Chapisha Maoni

0 Maoni