Mwandishi : Iddi Nassoro Rajabu, March 05/2023
Mbunge wa jimbo la Bagamoyo Mhe Muharami Mkenge leo tarehe 5 March alifanya mazungumzo na wafanyabiasha, wanaouza bidha ya mafuta ya kula pamoja na wafanyakazi wanaojishughurisha na shughuli mbalimbali katika Bandari ya Bagamoyo, lengo kufahamu Changamoto zao katika utendaji wao wa kila siku ili aweze kuzifanyia kazi.
0 Maoni