Ticker

6/recent/ticker-posts

MBUNGE WA JIMBO LA BAGAMOYO MHE. MUHARAMI MKENGE ATEMBELEA OFISI NDOGO YA TRA ILIYOPO KATIKA BANDARI NDOGO YA BAGAMOYO


 


Mwandishi : Iddi Nassoro Rajabu, March 01/2023


katika muonekano wa picha Mhe. mbunge wa jimbo la Bagamoyo muharami mkenge asubuhi ya leo tarehe 01/03/2023, aliwasili katika ofisi  ndogo za TRA zilizopo katika bandari ndogo ya Bagamoyo lengo na madhumuni ya matembezi yake ni kwenda kupata changamoto zinazoikabili idara hiyo ya mapato kwa malengo ya kujenga ushirikiano wa karibu baina ya ofisi yake na idara hiyo ya mapato ili kutatua changamoto mbalimbali zinazojitokeza. 



Tukio picha. Mbunge wa jimbo la bagamoyo Mhe. muharami mkenge akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa idara ya Mapato (TRA) katika Bandari ndogo ya Bagamoyo





Chapisha Maoni

0 Maoni